The Bible Software
bible.softwareJamesJames 2 › James 2:13

James 2:13

Kwa kuwa hukumu bila huruma itatolewa kwa mtu yeyote asiyekuwa na huruma. Huruma huishinda hukumu. 1 Imani Na Matendo

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For he shall have judgment without mercy, that hath shewed no mercy; and mercy rejoiceth against judgment.

In Context

12Hivyo semeni na kutenda kama watu watakaohukumiwa kwa sheria ile iletayo uhuru.

14Ndugu zangu, yafaa nini ikiwa mtu atadai kuwa anayo imani lakini hana matendo? Je, imani kama hiyo yaweza kumwokoa?

Read all of James 2

Cross References

Genesis 42:21Wakaambiana wao kwa wao, “Hakika tunaadhibiwa kwa sababu ya ndugu yetu. Tuliona jinsi alivyohuzunika alipokuwa anatusihi kuponya maisha yake, lakini hatukumsikiliza, hiyo ndiyo sababu dhiki hii imetupata.”

Judges 5:27Aliinama miguuni pa Yaeli, 2 akaanguka; akalala hapo. 1 Pale alipoinama miguuni pake, 2 alianguka; 1 pale alipoinamia, ndipo alipoanguka, 2 akiwa amekufa. 1

Psalms 18:25Kwa yeye aliye mwaminifu, unajionyesha kuwa mwaminifu, 2 kwa asiye na hatia, unajionyesha kutokuwa na hatia. 1

Proverbs 21:13Mtu akiziba masikio asisikie kilio cha maskini, 2 yeye pia atalia, wala hatajibiwa. 1

Jeremiah 9:24lakini yeye ajisifuye, na ajisifu kwa sababu hili: 2 kwamba ananifahamu na kunijua mimi, 1 kwamba mimi ndimi Bwana, nitendaye wema, 2 hukumu na haki duniani, 2 kwa kuwa napendezwa na haya,” 4 asema Bwana.

Micah 7:18Ni nani Mungu kama wewe, 2 ambaye anaachilia dhambi 1 na kusamehe makosa 2 ya mabaki ya urithi wake? 1 Wewe huwi na hasira milele, 2 bali unafurahia kuonyesha rehema. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study James 2:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← James 2:12James 2James 2:14 →