James 3:5
Vivyo hivyo ulimi ni kiungo kidogo sana katika mwili, lakini hujivuna majivuno makuu. Fikirini jinsi moto mdogo unavyoweza kuteketeza msitu mkubwa!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 5:2Farao akasema, “Huyo Bwana ni nani, hata nimtii na kuruhusu Israeli uende? Simjui huyo Bwana wala sitawaruhusu Israeli waende.”
2 Kings 19:22Ni nani uliyemtukana na kumkufuru? 2 Ni nani uliyeinua sauti yako dhidi yake, 1 na kumwinulia macho yako kwa kiburi? 2 Ni dhidi ya yule Aliye Mtakatifu wa Israeli! 1
Job 22:17Walimwambia Mungu, ‘Tuache sisi! 2 Huyo Mwenyezi aweza kutufanyia nini?’ 1
Psalms 12:2Kila mmoja humwambia jirani yake uongo; 2 midomo yao ya hila huzungumza kwa udanganyifu. 1
Psalms 52:1Ewe jitu, mbona unajivunia ubaya? 2 Kwa nini unajivuna mchana kutwa, 2 wewe ambaye ni fedheha mbele za Mungu? 1
Proverbs 12:18Maneno ya kipumbavu huchoma kama upanga, 2 bali ulimi wa mwenye hekima huleta uponyaji. 1