James 4:10
Jinyenyekezeni mbele za Bwana, naye atawainua. 1 Onyo Kuhusu Kuhukumu Wengine
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Humble yourselves in the sight of the Lord, and he shall lift you up.
In Context
Cross References
Job 22:29Watu watakaposhushwa, nawe ukasema, ‘Wainue!’ 2 ndipo atamwokoa aliyevunjika moyo. 1
Psalms 28:9Waokoe watu wako na uubariki urithi wako; 2 uwe mchungaji wao na uwabebe milele.
Psalms 113:7Huwainua maskini kutoka mavumbini, 2 na kuwanyanyua wahitaji kutoka kwenye jalala, 1
Matthew 23:12Kwa kuwa yeyote anayejikweza atashushwa, na yeyote anayejinyenyekeza atakwezwa.
Luke 14:11Kwa maana kila mtu ajikwezaye atashushwa, naye ajishushaye atakwezwa.”
James 4:6Lakini yeye hutupatia neema zaidi. Hii ndiyo sababu Andiko husema: 1 “Mungu huwapinga wenye kiburi, 2 lakini huwapa wanyenyekevu neema.”