James 4:8
Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu ninyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu ninyi wenye nia mbili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Basi mtiini Mungu. Mpingeni ibilisi, naye atawakimbia.
Cross References
Genesis 18:23Ndipo Abrahamu akamsogelea akasema: “Je, utawaangamiza wenye haki na waovu?
2 Chronicles 15:2Akatoka ili kumlaki Asa na kumwambia, “Nisikilizeni, Asa na Yuda wote na Benyamini. Bwana yu pamoja nanyi mkiwa pamoja naye. Kama mkimtafuta, ataonekana kwenu, lakini kama mkimwacha yeye, naye atawaacha ninyi.
Job 16:17Hata hivyo mikono yangu haijafanya jeuri, 2 na maombi yangu ni safi. 1
Psalms 18:20Bwana alinitendea sawasawa na uadilifu wangu; 2 sawasawa na usafi wa mikono yangu amenilipa. 1
Psalms 26:6Ninanawa mikono yangu kwa kuwa sina hatia, 2 naikaribia madhabahu yako, Ee Bwana, 1
Psalms 51:10Ee Mungu, uniumbie moyo safi, 2 uifanye upya roho ya uthabiti ndani yangu. 1