The Bible Software
bible.softwareJamesJames 5 › James 5:13

James 5:13

Je, mtu yeyote miongoni mwenu amepatwa na taabu? Basi inampasa aombe. Je, kuna yeyote mwenye furaha? Basi na aimbe nyimbo za kusifu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Is any among you afflicted? let him pray. Is any merry? let him sing psalms.

In Context

12Zaidi ya yote, ndugu zangu, msiape, iwe kwa mbingu au kwa dunia, au kwa kitu kingine chochote. “Ndiyo” yenu na iwe ndiyo, na “Hapana” yenu iwe hapana, la sivyo mtahukumiwa. 1 Maombi Ya Imani

14Je, kuna yeyote miongoni mwenu aliye mgonjwa? Basi inampasa awaite wazee wa kanisa wamwombee na kumpaka mafuta kwa Jina la Bwana.

Read all of James 5

Cross References

1 Chronicles 16:9Mwimbieni yeye, mwimbieni yeye sifa; 2 waambieni matendo yake yote ya ajabu. 1

Job 33:26Humwomba Mungu, akapata kibali kwake, 2 huuona uso wa Mungu na kushangilia kwa furaha; 2 Mungu humrudisha katika hali yake ya uadilifu. 1

Psalms 50:15na uniite siku ya taabu; 2 nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.”

Psalms 95:2Tuje mbele zake kwa shukrani, 2 tumtukuze kwa vinanda na nyimbo. 1

Psalms 116:3Kamba za mauti zilinizunguka, 2 maumivu makuu ya kuzimu yalinipata, 2 nikalemewa na taabu na huzuni. 1

Psalms 142:1Namlilia Bwana kwa sauti, 2 nainua sauti yangu kwa Bwana anihurumie. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study James 5:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← James 5:12James 5James 5:14 →