Yeremia 10:4
Wanaparemba kwa fedha na dhahabu, 2 wanakikaza kwa nyundo na misumari ili kisitikisike. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 115:4Lakini sanamu zao ni za fedha na dhahabu, 2 zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu. 1
Isaiah 40:19Kwa habari ya sanamu, fundi huisubu, 2 naye mfua dhahabu huifunika kwa dhahabu 2 na kuitengenezea mikufu ya fedha. 1
Isaiah 44:12Muhunzi huchukua kifaa 2 na kukifanyia kazi kwenye makaa ya moto, 1 hutengeneza sanamu kwa nyundo, 2 huifanyiza kwa nguvu za mkono wake. 1 Huona njaa na kupoteza nguvu zake, 2 asipokunywa maji huzimia. 1