Yeremia 14:13
Lakini nikasema, “Aa, Bwana Mwenyezi, manabii wanaendelea kuwaambia, ‘Hamtaona upanga wala kukabiliwa na njaa. Naam, nitawapa amani ya kudumu mahali hapa.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Jeremiah 4:10Ndipo niliposema, “Aa, Bwana Mwenyezi, umewadanganyaje kabisa watu hawa na Yerusalemu kwa kusema, ‘Mtakuwa na amani,’ wakati upanga uko kwenye koo zetu!”
Jeremiah 5:31Manabii wanatabiri uongo, 2 makuhani wanatawala kwa mamlaka yao wenyewe, 1 nao watu wangu wanapenda hivyo. 2 Lakini mtafanya nini mwisho wake?
Jeremiah 8:11Wanafunga majeraha ya watu wangu 2 bila uangalifu. 1 Wanasema, “Amani, amani,” 2 wakati hakuna amani. 1
Jeremiah 23:17Huendelea kuwaambia wale wanaonidharau mimi, 2 ‘ Bwana asema: Mtakuwa na amani.’ 1 Kwa wale wote wafuatao ugumu wa mioyo yao, 2 wao husema, ‘Hakuna dhara litakalowapata.’ 1
Jeremiah 37:19Wako wapi manabii wako waliokutabiria wakisema, ‘Mfalme wa Babeli hatakushambulia wewe wala nchi hii?’
Ezekiel 13:22Kwa sababu mliwavunja moyo wenye haki kwa uongo wenu, wakati mimi sikuwaletea huzuni na kwa kuwa mliwatia moyo waovu ili wasiziache njia zao mbaya na hivyo kuokoa maisha yao,