Yeremia 2:34
Katika nguo zako watu huona 2 damu ya uhai ya maskini wasio na hatia, 2 ingawa hukuwakamata wakivunja nyumba. 1 Lakini katika haya yote 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 22:1“Kama mtu akiiba maksai au kondoo na kumchinja au kumuuza, ni lazima alipe ngʼombe watano badala ya maksai mmoja na kondoo wanne badala ya kondoo mmoja.
2 Kings 21:16Zaidi ya hayo, Manase pia alimwaga damu nyingi isiyo na hatia, hivi kwamba aliijaza Yerusalemu kutoka mwanzo hadi mwisho, mbali na dhambi ambayo alikuwa amesababisha Yuda kufanya, na hivyo wakatenda maovu machoni pa Bwana.
Psalms 106:37Wakawatoa wana wao 2 na binti zao dhabihu kwa mashetani. 1
Isaiah 57:5Mnawaka tamaa katikati ya mialoni 2 na chini ya kila mti uliotanda matawi; 1 mnawatoa kafara watoto wenu kwenye mabonde 2 na chini ya majabali yenye mianya. 1
Jeremiah 6:15Je, wanaona aibu kwa ajili ya tabia yao 2 inayochukiza mno? 1 Hapana, hawana aibu hata kidogo; 2 hawajui hata kuona haya. 1 Kwa hiyo wataanguka miongoni mwa hao walioanguka, 2 watashushwa chini nitakapowaadhibu,” 4 asema Bwana.
Jeremiah 8:12Je, wanaona aibu kwa ajili ya tabia yao inayochukiza mno? 2 Hapana, hawana aibu hata kidogo, 2 hawajui hata kuona haya. 1 Kwa hiyo wataanguka miongoni mwa hao walioanguka, 2 watashushwa chini watakapoadhibiwa, 4 asema Bwana. 1