The Bible Software
bible.softwareYeremiaYeremia 20 › Yeremia 20:13

Yeremia 20:13

Mwimbieni Bwana! 2 Mpeni Bwana sifa! 1 Yeye huokoa uhai wa mhitaji 2 kutoka mikononi mwa waovu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Sing unto the LORD, praise ye the LORD: for he hath delivered the soul of the poor from the hand of evildoers.

In Context

12Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 wewe umjaribuye mwenye haki 2 na kupima moyo na nia, 1 hebu nione ukilipiza kisasi juu yao, 2 kwa maana kwako 2 nimeliweka shauri langu. 1

14Ilaaniwe siku niliyozaliwa! 2 Nayo isibarikiwe ile siku 2 mama yangu aliyonizaa! 1

Read all of Yeremia 20

Cross References

Psalms 34:6Maskini huyu alimwita Bwana, naye akamsikia, 2 akamwokoa katika taabu zake zote. 1

Psalms 35:10Nitapaza sauti yangu nikisema, 2 “Ni nani aliye kama wewe, Ee Bwana? 1 Wewe huwaokoa maskini kutokana na wale walio na nguvu kuliko wao, 2 maskini na mhitaji kutokana na wanaowanyangʼanya!” 1

Psalms 72:4Atawatetea walioonewa miongoni mwa watu 2 na atawaokoa watoto wa wahitaji, 2 ataponda mdhalimu. 1

Isaiah 25:4Umekuwa kimbilio la watu maskini, 2 kimbilio la mhitaji katika taabu yake, 1 hifadhi wakati wa dhoruba 2 na kivuli wakati wa hari. 1 Kwa maana pumzi ya wakatili 2 ni kama dhoruba ipigayo ukuta 2

James 2:5Ndugu zangu, sikilizeni: Je, Mungu hakuwachagua wale walio maskini machoni pa ulimwengu kuwa matajiri katika imani na kuurithi Ufalme aliowaahidi wale wampendao?

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 20:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 20:12Yeremia 20Yeremia 20:14 →