The Bible Software
bible.softwareJeremiahJeremiah 22 › Jeremiah 22:13

Jeremiah 22:13

“Ole wake yeye ajengaye jumba lake la kifalme kwa njia ya dhuluma, 2 vyumba vyake vya juu kwa udhalimu, 1 akiwatumikisha watu wa nchi yake pasipo malipo, 2 bila kuwalipa kwa utumishi wao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Woe unto him that buildeth his house by unrighteousness, and his chambers by wrong; that useth his neighbour’s service without wages, and giveth him not for his work;

In Context

12Atafia huko mahali walipompeleka kuwa mateka; hataiona tena nchi hii.” 1

14Asema, ‘Nitajijengea jumba kuu la kifalme, 2 na vyumba vya juu vyenye nafasi kubwa.’ 1 Hivyo anaweka ndani yake madirisha makubwa, 2 huweka kuta za mbao za mierezi, 2 na kuipamba kwa rangi nyekundu. 1

Read all of Jeremiah 22

Cross References

Deuteronomy 15:13Nawe wakati utakapomwachia usimwache aende mikono mitupu.

2 Kings 23:35Yehoyakimu akamlipa Farao Neko ile fedha na dhahabu aliyodai. Ili kuweza kufanya hivyo, Yehoyakimu akatoza nchi kodi na kulipiza fedha na dhahabu kutoka kwa watu wa nchi kulingana na makadrio ya mapato yao.

Job 24:10Kwa kukosa nguo, hutembea uchi; 2 hubeba miganda ya ngano, lakini huwa na njaa. 1

Jeremiah 22:18Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana kuhusu Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda: 1 “Hawatamwombolezea wakisema: 2 ‘Ole, ndugu yangu! Ole, umbu langu!’ 1 Hawatamwombolezea wakisema: 2 ‘Ole, bwana wangu! Ole, fahari yake!’ 1

Habakkuk 2:9“Ole wake yeye ajengaye milki yake kwa mapato ya udhalimu, 2 awekaye kiota chake juu, 2 ili kukimbia makucha ya uharibifu! 1

Malachi 3:5“Basi nitakuja karibu nanyi ili kuhukumu. Nami nitakuwa mwepesi kushuhudia dhidi ya wachawi, wazinzi, waapao kwa uongo, wanaopunja vibarua malipo yao, wanaowaonea wajane na yatima, na wanaowanyima wageni haki, lakini hawaniogopi mimi,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 Kumwibia Mungu

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jeremiah 22:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jeremiah 22:12Jeremiah 22Jeremiah 22:14 →