The Bible Software
bible.softwareJeremiahJeremiah 22 › Jeremiah 22:21

Jeremiah 22:21

Nilikuonya wakati ulipojisikia kwamba uko salama, 2 lakini ulisema, ‘Mimi sitasikiliza!’ 1 Hii imekuwa kawaida yako tangu ujana wako; 2 hujanitii mimi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I spake unto thee in thy prosperity; but thou saidst, I will not hear. This hath been thy manner from thy youth, that thou obeyedst not my voice.

In Context

20“Panda Lebanoni ukapige kelele, 2 sauti yako na isikike huko Bashani, 1 piga kelele toka Abarimu, 2 kwa kuwa wote waliojiunga nawe wameangamizwa. 1

22Upepo utawaondoa wachungaji wako wote, 2 na wale ulioungana nao wataenda uhamishoni. 1 Kisha utaaibika na kufedheheka 2 kwa sababu ya uovu wako wote. 1

Read all of Jeremiah 22

Cross References

Deuteronomy 9:7Kumbukeni hili, kamwe msisahau jinsi mlivyomkasirisha Bwana Mungu wenu kwa hasira huko jangwani. Tangu siku mlipotoka Misri mpaka mlipofika hapa, mmekuwa waasi dhidi ya Bwana.

Deuteronomy 31:27Kwa kuwa ninajua jinsi mlivyo waasi na mlivyo na shingo ngumu. Kama mmekuwa mkiasi dhidi ya Bwana nikiwa bado niko hai na nikiwa pamoja nanyi, mtaasi mara ngapi baada ya kufa kwangu!

Judges 2:11Kwa hiyo Waisraeli wakatenda maovu machoni pa Bwana na kuwatumikia Mabaali.

2 Chronicles 36:16Lakini waliwadhihaki wajumbe wa Bwana wakayadharau maneno yake na kuwacheka manabii wake mpaka ghadhabu ya Bwana ikawa kubwa dhidi ya watu wake na hakukuwa na namna ya kuituliza.

Psalms 106:6Tumetenda dhambi, kama vile baba zetu walivyotenda, 2 tumekosa na tumetenda uovu. 1

Isaiah 48:8Hujayasikia wala kuyaelewa, 2 tangu zamani sikio lako halikufunguka. 1 Ninafahamu vyema jinsi ulivyo mdanganyifu, 2 uliitwa mwasi tangu kuzaliwa kwako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jeremiah 22:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jeremiah 22:20Jeremiah 22Jeremiah 22:22 →