The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 22 › Yeremia 22:9

Yeremia 22:9

Nalo jibu litakuwa: ‘Kwa sababu wameliacha agano la Bwana, Mungu wao, na wameabudu na kuitumikia miungu mingine.’ ” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then they shall answer, Because they have forsaken the covenant of the LORD their God, and worshipped other gods, and served them.

In Context

8“Watu kutoka mataifa mengi watapitia karibu na mji huu na kuulizana, ‘Kwa nini Bwana amefanya jambo la namna hii juu ya mji huu mkubwa?’

10Usimlilie yeye aliyekufa, wala usimwombolezee; 2 badala yake, afadhali umlilie kwa uchungu 2 yule aliyepelekwa uhamishoni, 1 kwa sababu kamwe hatairudia 2 wala kuiona tena nchi yake alikozaliwa.

Read all of Yeremia 22

Cross References

Deuteronomy 29:24Mataifa yote yatauliza: “Kwa nini Bwana amefanya hivi juu ya nchi hii? Kwa nini hasira hii kali ikawaka?”

2 Kings 22:17Kwa sababu wameniacha mimi na kufukiza uvumba kwa miungu mingine, na kunighadhibisha kwa sanamu zote zilizotengenezwa kwa mikono yao, hasira yangu itawaka dhidi ya mahali hapa, wala haitatulizwa.’

Jeremiah 2:17Je, hukujiletea hili wewe mwenyewe 2 kwa kumwacha Bwana, Mungu wako 2 alipowaongoza njiani? 1

Jeremiah 16:11Basi waambie, ‘Ni kwa sababu baba zenu waliniacha mimi, wakafuata miungu mingine ili kuitumikia na kuiabudu. Waliniacha mimi na hawakuishika sheria yangu,’ asema Bwana.

Jeremiah 50:7Yeyote aliyewakuta aliwala; 2 adui zao walisema, ‘Sisi hatuna hatia, 1 kwa kuwa wao walitenda dhambi dhidi ya Bwana, malisho yao halisi, 2 Bwana, aliye tumaini la baba zao.’ 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 22:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 22:8Yeremia 22Yeremia 22:10 →