Yeremia 27:4
Wape ujumbe kwa ajili ya mabwana zao na uwaambie: Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli: ‘Waambieni hivi mabwana zenu:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 5:1Baadaye Mose na Aroni wakaenda kwa Farao, wakamwambia, “Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa Israeli: ‘Waruhusu watu wangu waende, ili waweze kunifanyia sikukuu huko jangwani.’ ”
Jeremiah 10:16Yeye aliye Fungu la Yakobo sivyo alivyo, 2 kwani ndiye Muumba wa vitu vyote, 1 pamoja na Israeli, kabila la urithi wake: 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake. 1 Maangamizi Yajayo 1
Jeremiah 28:14Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli: Nitaweka nira ya chuma kwenye shingo za mataifa haya yote ili kufanya yamtumikie Nebukadneza mfalme wa Babeli, nao watamtumikia. Nitampa kutawala hata wanyama wa mwituni.’ ”