Yeremia 3:11
Bwana akaniambia, “Israeli asiye mwaminifu ana haki kuliko Yuda mdanganyifu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Jeremiah 3:8Nilimpa Israeli asiye mwaminifu hati yake ya talaka, na kumfukuza kwa ajili ya uzinzi wake wote. Hata hivyo nikaona kuwa Yuda dada yake mdanganyifu hakuogopa. Yeye pia alitoka na kufanya uzinzi.
Ezekiel 16:47Hukuziendea njia zao tu na kuiga matendo yao ya kuchukiza, bali kwa muda mfupi katika njia zako zote uliharibika tabia zaidi kuliko wao.
Ezekiel 23:11“Oholiba dada yake aliliona jambo hili, lakini kwa tamaa zake na ukahaba wake, akaharibu tabia zake kuliko Ohola dada yake.
Hosea 11:7Watu wangu wamedhamiria kuniacha. 2 Hata kama wakimwita Yeye Aliye Juu Sana, 2 kwa vyovyote hatawainua. 1