The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 31 › Yeremia 31:4

Yeremia 31:4

Nitakujenga tena nawe utajengeka upya, 2 ewe Bikira Israeli. 1 Utachukua tena matari yako 2 na kwenda kucheza na wenye furaha. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Again I will build thee, and thou shalt be built, O virgin of Israel: thou shalt again be adorned with thy tabrets, and shalt go forth in the dances of them that make merry.

In Context

3Bwana alitutokea wakati uliopita, akisema: 1 “Nimekupenda kwa upendo wa milele, 2 nimekuvuta kwa wema. 1

5Utapanda tena shamba la mizabibu 2 juu ya vilima vya Samaria, 1 wakulima watapanda 2 na kufurahia matunda yake. 1

Read all of Yeremia 31

Cross References

Exodus 15:20Kisha Miriamu yule nabii mke, ndugu yake Aroni, akachukua matari mkononi mwake na wanawake wote wakamfuata na matari yao wakicheza.

1 Samuel 18:6Watu walipokuwa wanarudi nyumbani baada ya Daudi kumuua yule Mfilisti, wanawake wakaja kutoka pande zote za miji ya Israeli kumlaki Mfalme Sauli kwa kuimba na kucheza, kwa nyimbo za furaha na kwa matari na zeze.

Psalms 51:18Kwa wema wa radhi yako uifanye Sayuni istawi, 2 ukazijenge upya kuta za Yerusalemu. 1

Psalms 149:3Na walisifu jina lake kwa kucheza 2 na wampigie muziki kwa matari na kinubi. 1

Isaiah 14:1Bwana atamhurumia Yakobo, 2 atamchagua Israeli tena, 2 na kuwakalisha katika nchi yao wenyewe. 1 Wageni wataungana nao 2 na kujiunga na nyumba ya Yakobo. 1

Jeremiah 1:10Tazama, leo nimekuweka juu ya mataifa na falme ili kungʼoa na kubomoa, kuharibu na kuangamiza, kujenga na kupanda.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 31:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 31:3Yeremia 31Yeremia 31:5 →