bible.software › Jeremiah › Jeremiah 32 › Jeremiah 32:13
Jeremiah 32:13
“Nilimpa Baruku maelezo haya mbele yao:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And I charged Baruch before them, saying,
In Context
12nami nikampa Baruku mwana wa Neria, mwana wa Maaseya, hati hii mbele ya binamu yangu Hanameli, na mbele ya mashahidi waliokuwa wameweka sahihi kwenye hati hii na mbele ya Wayahudi wote waliokuwa wameketi katika ua wa walinzi.
14‘Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli: Chukua hati hizi, yaani nakala zote zenye muhuri na zisizo na muhuri za hati ya kununulia, na uziweke kwenye gudulia la udongo wa mfinyanzi ili zidumu kwa muda mrefu.
Read all of Jeremiah 32
This Verse In Other Editions
Study Jeremiah 32:13