bible.software › Yeremia › Yeremia 32 › Yeremia 32:6
Yeremia 32:6
Yeremia akasema, “Neno la Bwana lilinijia kusema:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jeremiah said, The word of the LORD came unto me, saying,
In Context
5Atamchukua Sedekia hadi Babeli, mahali atakapoishi mpaka nitakapomshughulikia, asema Bwana. Kama utapigana dhidi ya Wakaldayo, hutashinda.’ ”
7Hanameli mwana wa Shalumu mjomba wako atakuja kwako na kusema, ‘Nunua shamba langu huko Anathothi, kwa sababu wewe kama jamaa ya karibu ni haki na wajibu wako kulinunua.’
Read all of Yeremia 32
This Verse In Other Editions
Study Yeremia 32:6