Yeremia 39:18
Nitakuokoa; hutaanguka kwa upanga, lakini maisha yako yatakuwa salama, kwa sababu unanitumaini, asema Bwana.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Lakini siku hiyo nitakuokoa, asema Bwana; hutatiwa mikononi mwa wale unaowaogopa.
Cross References
Job 5:20Wakati wa njaa atakukomboa wewe na kifo, 2 naye katika vita atakukomboa na pigo la upanga. 1
Psalms 33:18Lakini macho ya Bwana yako kwa wale wamchao, 2 kwa wale tumaini lao liko katika upendo wake usio na kikomo, 1
Psalms 37:3Mtumaini Bwana na utende yaliyo mema; 2 Kaa katika nchi ukafurahie malisho salama. 1
Psalms 84:12Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 heri ni mtu yule anayekutumaini wewe.
Psalms 146:3Usiweke tumaini lako kwa wakuu, 2 kwa wanadamu ambao hufa, 2 ambao hawawezi kuokoa. 1
Isaiah 26:3Utamlinda katika amani kamilifu 2 yeye ambaye moyo wake ni thabiti 2 kwa sababu anakutumaini wewe. 1