bible.software › Yeremia › Yeremia 40 › Yeremia 40:4
Yeremia 40:4
Lakini leo ninakufungua minyororo iliyo kwenye viwiko vya mikono yako. Twende pamoja mpaka Babeli ikiwa unataka, nami nitakutunza. Lakini kama hutaki, basi usije. Tazama, nchi yote iko mbele yako, nenda kokote unakotaka.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And now, behold, I loose thee this day from the chains which were upon thine hand. If it seem good unto thee to come with me into Babylon, come; and I will look well unto thee: but if it seem ill unto thee to come with me into Babylon, forbear: behold, all the land is before thee: whither it seemeth good and convenient for thee to go, thither go.
In Context
3Sasa Bwana ameyaleta haya, amefanya sawasawa na vile alivyosema angefanya. Yote haya yametokea kwa sababu ninyi mlifanya dhambi dhidi ya Bwana na hamkumtii.
5Lakini kabla Yeremia hajageuka kuondoka, Nebuzaradani akaongeza kusema, “Rudi kwa Gedalia mwana wa Ahikamu mwana wa Shafani, ambaye mfalme wa Babeli amemchagua awe juu ya miji ya Yuda, ukaishi naye miongoni mwa watu, au uende popote panapokupendeza.” Kisha huyo kiongozi akampa posho yake na zawadi, akamwacha aende zake.
Read all of Yeremia 40
Cross References
Genesis 20:15Abimeleki akasema, “Nchi yangu iko mbele yako, ishi popote unapotaka.”
Esther 3:11Mfalme akamwambia Hamani, “Baki na fedha yako na uwatendee hao watu utakavyo.”
Jeremiah 39:12“Mchukue umtunze. Usimdhuru, lakini umfanyie chochote anachotaka.”
This Verse In Other Editions
Study Yeremia 40:4