Yeremia 41:8
Lakini watu kumi miongoni mwao wakamwambia Ishmaeli, “Sisi usituue! Tuna ngano na shayiri, mafuta na asali, vilivyofichwa katika shamba.” Kwa hiyo akawaacha na hakuwaua pamoja na wale wengine.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 2:4Shetani akamjibu Bwana, “Ngozi kwa ngozi! Mwanadamu atatoa vyote alivyo navyo kwa ajili ya uhai wake.
Proverbs 13:8Utajiri wa mtu waweza kukomboa maisha yake, 2 bali mtu maskini hasikii kitisho. 1
Matthew 6:25“Kwa hiyo nawaambia, msisumbukie maisha yenu kwamba mtakula nini au mtakunywa nini; au msumbukie miili yenu kwamba mtavaa nini. Je, maisha si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi?
Mark 8:36Je, itamfaidi nini mtu kuupata ulimwengu wote, lakini akayapoteza maisha yake?