Yeremia 48:5
Wanapanda kwenda njia ya kuelekea Luhithi, 2 wakilia kwa uchungu wanapotembea, 1 kwenye njia inayoshuka kwenda Horonaimu, 2 kilio cha uchungu kwa ajili ya uharibifu kinasikika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Moabu utavunjwa, 2 wadogo wake watapiga kelele. 1
6Kimbieni! Okoeni maisha yenu, 2 kuweni kama kichaka jangwani. 1