The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 48 › Yeremia 48:8

Yeremia 48:8

Mharabu atakuja dhidi ya kila mji, 2 wala hakuna mji utakaookoka. 1 Bonde litaangamizwa na uwanda utaharibiwa, 2 kwa sababu Bwana amesema. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the spoiler shall come upon every city, and no city shall escape: the valley also shall perish, and the plain shall be destroyed, as the LORD hath spoken.

In Context

7Kwa kuwa mmetumainia matendo yenu na mali zenu, 2 ninyi pia mtachukuliwa mateka, 1 naye Kemoshi + 48:7 Kemoshi alikuwa mungu wa Wamoabu. atakwenda uhamishoni, 2 pamoja na makuhani wake na maafisa wake. 1

9Wekeni chumvi kwa ajili ya Moabu, 2 kwa kuwa ataangamizwa; 1 miji yake itakuwa ukiwa, 2 pasipo kuwa na mtu atakayeishi ndani yake. 1

Read all of Yeremia 48

Cross References

Joshua 13:9Eneo lao lilienea toka Aroeri, iliyoko ukingoni mwa Bonde la Arnoni kuanzia mji ulio katikati ya bonde, likijumlisha nchi ya uwanda wa juu wote wa Medeba mpaka Diboni,

Joshua 13:21miji yote ya uwanda wa juu na eneo lote la utawala wa Sihoni mfalme wa Waamori, aliyetawala katika Heshboni. Mose alikuwa amemshinda Sihoni, pia watawala wakuu wa Wamidiani, ambao ni Evi, Rekemu, Suri, Huri na Reba, waliokuwa wameungana na Sihoni, ambao waliishi katika nchi ile.

Jeremiah 15:8Nitawafanya wajane wao kuwa wengi 2 kuliko mchanga wa bahari. 1 Wakati wa adhuhuri nitamleta mharabu 2 dhidi ya mama wa vijana wao waume; 1 kwa ghafula nitaleta juu yao 2 maumivu makuu na hofu kuu. 1

Jeremiah 48:18“Shuka kutoka fahari yako 2 na uketi katika ardhi iliyokauka, 2 enyi wenyeji wa Binti wa Diboni, 1 kwa maana yeye aangamizaye Moabu atakuja dhidi yako, 2 na kuangamiza miji yako iliyozungushiwa maboma. 1

Jeremiah 51:56Mharabu atakuja dhidi ya Babeli, 2 mashujaa wake watakamatwa, 2 nazo pinde zao zitavunjwa. 1 Kwa kuwa Bwana ni Mungu wa kisasi, 2 yeye atalipiza kikamilifu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 48:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 48:7Yeremia 48Yeremia 48:9 →