Yeremia 50:13
Kwa sababu ya hasira ya Bwana hatakaliwa na mtu, 2 lakini ataachwa ukiwa kabisa. 1 Wote watakaopita Babeli watatiwa hofu na kudhihaki 2 kwa sababu ya majeraha yake yote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 27:23Upepo humpigia makofi kwa dharau, 2 na kumfukuza atoke mahali pake.
Jeremiah 18:16Nchi yao itaharibiwa, 2 itakuwa kitu cha kudharauliwa daima; 1 wote wapitao karibu nayo watashangaa 2 na kutikisa vichwa vyao. 1
Jeremiah 25:12“Lakini miaka sabini itakapotimia, nitamwadhibu mfalme wa Babeli na taifa lake na nchi ya Wakaldayo kwa ajili ya hatia yao,” asema Bwana. “Nitaifanya kuwa ukiwa milele.
Jeremiah 51:37Babeli utakuwa lundo la magofu 2 na makao ya mbweha, 1 kitu cha kutisha na kudharauliwa, 2 mahali asipoishi mtu. 1
Habakkuk 2:6“Je, watu wote hawatamsuta kwa dhihaka na kumbeza, wakisema, 1 “ ‘Ole wake yeye akusanyaye bidhaa zilizoibwa 2 na kujifanyia utajiri kwa kutoza kwa nguvu! 2 Ataendelea hivi kwa muda gani?’ 1
Zechariah 1:15lakini nimeyakasirikia sana mataifa yanayojisikia kuwa yako salama. Nilikuwa nimewakasirikia Israeli kidogo tu, lakini mataifa hayo yaliwazidishia maafa.’