Yeremia 51:49
“Babeli ni lazima aanguke kwa sababu ya kuwaua Waisraeli, 2 kama vile waliouawa duniani kote 2 walivyoanguka kwa sababu ya Babeli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 137:8Ee binti Babeli, uliyehukumiwa kuangamizwa, 2 heri yeye atakayekulipiza wewe 2 kwa yale uliyotutenda sisi: 1
Jeremiah 50:17“Israeli ni kundi lililotawanyika 2 ambalo simba wamelifukuzia mbali. 1 Wa kwanza kumla alikuwa mfalme wa Ashuru, 2 wa mwisho kuponda mifupa yake 2 alikuwa Nebukadneza mfalme wa Babeli.”
Jeremiah 50:33Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “Watu wa Israeli wameonewa, 2 nao watu wa Yuda pia. 1 Wote waliowateka wamewashikilia sana, 2 wanakataa kuwaachia waende. 1
Jeremiah 51:24“Mbele ya macho yako nitamlipiza Babeli na wote waishio Ukaldayo kwa ajili ya makosa yote waliyofanya katika Sayuni,” asema Bwana. 1
Matthew 7:2Kwa maana jinsi unavyowahukumu wengine, ndivyo utakavyohukumiwa, na kwa kipimo kile upimiacho, ndicho utakachopimiwa.
Revelation 18:5kwa kuwa dhambi zake zimelundikana hadi mbinguni, 2 naye Mungu ameukumbuka uhalifu wake. 1