Jeremiah 52:13
Alichoma moto Hekalu la Bwana, jumba la kifalme, na nyumba zote za Yerusalemu. Aliteketeza kila jengo muhimu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Chronicles 36:19Wakalichoma Hekalu la Mungu na kuzibomoa kuta za Yerusalemu, wakachoma moto majumba yote ya kifalme na kuharibu kila kitu chake cha thamani.
Psalms 74:7Waliteketeza kabisa mahali pako patakatifu, 2 wakayanajisi makao ya Jina lako. 1
Isaiah 64:10Miji yako mitakatifu imekuwa jangwa; 2 hata Sayuni ni jangwa, Yerusalemu ni ukiwa. 1
Jeremiah 7:14Kwa hiyo, nililolifanyia Shilo, nitalifanya sasa kwa nyumba hii iitwayo kwa Jina langu, Hekalu mnalolitumainia, mahali nilipowapa ninyi na baba zenu.
Jeremiah 32:29Wakaldayo ambao wanaushambulia mji huu watakuja na kuuchoma moto na kuuteketeza, pamoja na nyumba ambamo watu wamenikasirisha kwa kumfukizia Baali uvumba katika mapaa na kumimina sadaka za vinywaji kwa miungu mingine.
Jeremiah 37:8Kisha Wakaldayo watarudi na kushambulia mji huu, watauteka na kuuchoma moto.’