The Bible Software
bible.softwareJobJob 14 › Job 14:2

Job 14:2

Huchanua kama ua kisha hunyauka; 2 huwa kama kivuli kipitacho upesi, wala hadumu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He cometh forth like a flower, and is cut down: he fleeth also as a shadow, and continueth not.

In Context

1“Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke 2 siku zake ni chache nazo zimejaa taabu. 1

3Je, unamwekea jicho lako mtu kama huyo? 2 Je, utamleta mbele yako katika hukumu? 1

Read all of Job 14

Cross References

Job 8:9kwa kuwa sisi tumezaliwa jana tu na hatujui lolote, 2 nazo siku zetu duniani ni kama kivuli tu. 1

Psalms 39:7“Lakini sasa Bwana, nitafute nini? 2 Tumaini langu ni kwako. 1

Psalms 90:6ingawa asubuhi yanachipua, 2 ifikapo jioni huwa yamenyauka na kukauka. 1

Psalms 92:12Wenye haki watastawi kama mtende, 2 watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni, 1

Psalms 102:11Siku zangu ni kama kivuli cha jioni, 2 ninanyauka kama jani. 1

Psalms 103:15Kuhusu mwanadamu, siku zake ni kama majani, 2 anachanua kama ua la shambani; 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 14:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 14:1Job 14Job 14:3 →