Job 21:11
Huwatoa watoto wao nje kama kundi; 2 wadogo wao huchezacheza. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They send forth their little ones like a flock, and their children dance.
In Context
10Madume yao ya ngʼombe huvyaza bila kushindwa kamwe; 2 ngʼombe wao huzaa wala hawaharibu mimba. 1
12Huimba nyimbo kwa matari na kwa kinubi, 2 nao huifurahia sauti ya filimbi. 1
Cross References
Psalms 127:3Wana ni urithi utokao kwa Bwana, 2 watoto ni zawadi kutoka kwake. 1