Job 21:13
Huitumia miaka yao katika mafanikio 2 nao hushuka kaburini kwa amani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They spend their days in wealth, and in a moment go down to the grave.
In Context
12Huimba nyimbo kwa matari na kwa kinubi, 2 nao huifurahia sauti ya filimbi. 1
14Lakini humwambia Mungu, ‘Tuache sisi!’ 2 Hatuna haja ya kufahamu njia zako. 1
Cross References
Job 36:11Kama wakitii na kumtumikia, 2 wataishi siku zao zilizobaki katika mafanikio, 2 na miaka yao katika utoshelevu. 1
Matthew 24:38Kwa maana siku zile kabla ya gharika, watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka siku ile Noa alipoingia katika safina.
Luke 17:28“Ndivyo ilivyokuwa katika siku za Loti: Watu walikuwa wakila na kunywa, wakinunua na kuuza, wakilima na kujenga.