The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 22 › Ayubu 22:30

Ayubu 22:30

Atamwokoa hata yule ambaye ana hatia, 2 ataokolewa kwa sababu ya usafi wa mikono yako.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He shall deliver the island of the innocent: and it is delivered by the pureness of thine hands.

In Context

29Watu watakaposhushwa, nawe ukasema, ‘Wainue!’ 2 ndipo atamwokoa aliyevunjika moyo. 1

Read all of Ayubu 22

Cross References

Job 42:7Baada ya Bwana kusema mambo haya yote na Ayubu, akamwambia Elifazi Mtemani, “Nina hasira juu yako na juu ya rafiki zako wawili, kwa sababu hamkusema yaliyo sawa kwa habari yangu, kama alivyosema mtumishi wangu Ayubu.

Job 42:9Kwa hiyo Elifazi Mtemani, Bildadi Mshuhi, na Sofari Mnaamathi wakafanya kama Bwana alivyowaambia; naye Bwana akayakubali maombi ya Ayubu.

Psalms 24:4Ni yule mwenye mikono safi na moyo mweupe, 2 yule ambaye hakuinulia sanamu nafsi yake 2 au kuapa kwa kitu cha uongo. 1

Isaiah 58:12Watu wako watajenga tena magofu ya zamani 2 na kuinua misingi ya kale; 1 utaitwa Mwenye Kukarabati Kuta Zilizobomoka, 2 Mwenye Kurejeza Barabara za Makao. 1

Malachi 1:9“Basi mwombeni Mungu awe na neema kwetu. Je, kwa sadaka kama hizo kutoka mikononi mwenu, atawapokea?” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.

Acts 19:15Lakini pepo mchafu akawajibu, “Yesu namjua na Paulo pia namjua, lakini ninyi ni nani?”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 22:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 22:29Ayubu 22