Ayubu 24:25
“Kama hili sivyo, ni nani awezaye kunithibitisha kuwa mwongo, 2 na kuyafanya maneno yangu kuwa si kitu?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if it be not so now, who will make me a liar, and make my speech nothing worth?
In Context
Cross References
Job 9:24Wakati nchi inapoangukia mikononi mwa waovu, 2 yeye huwafunga macho mahakimu wake. 2 Kama si yeye, basi ni nani? 1
Job 15:2“Je, mtu mwenye hekima hujibu kwa mawazo matupu, 2 au kujaza tumbo lake kwa upepo wenye joto wa mashariki? 1