Ayubu 3:18
Wafungwa nao hufurahia utulivu wao, 2 hawasikii tena sauti ya kukemea ya kiongozi wa watumwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
There the prisoners rest together; they hear not the voice of the oppressor.
In Context
17Huko waovu huacha kusumbua 2 na huko waliochoka hupumzika. 1
19Wadogo na wakubwa wamo humo, 2 na mtumwa ameachiwa huru kutoka kwa bwana wake. 1
Cross References
Exodus 5:15Ndipo wasimamizi wa Kiisraeli wakaenda kumlilia Farao, wakisema: “Mbona umewatendea watumishi wako hivi?
Job 39:7Huzicheka ghasia za mji, 2 wala hasikii kelele za mwendesha gari. 1