Ayubu 3:26
Sina amani, wala utulivu; 2 sina pumziko, bali taabu tu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I was not in safety, neither had I rest, neither was I quiet; yet trouble came.
In Context
25Lile nililokuwa naliogopa limenijia; 2 lile nililokuwa ninalihofia limenipata. 1
Cross References
Job 7:14ndipo wanitisha kwa ndoto 2 na kunitia hofu kwa maono, 1
Psalms 143:11Ee Bwana, kwa ajili ya jina lako, hifadhi maisha yangu, 2 kwa haki yako nitoe katika taabu. 1