Ayubu 30:14
Wananijia kama watu wapitao katika ufa mpana; 2 katikati ya magofu huja na kunishambulia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They came upon me as a wide breaking in of waters: in the desolation they rolled themselves upon me.
In Context
13Huizuia njia yangu, 2 nao hufanikiwa katika kuniletea maafa, 2 nami sina yeyote wa kunisaidia. 1
Cross References
Job 22:16Waliondolewa kabla ya wakati wao, 2 misingi yao ikachukuliwa na mafuriko. 1
Psalms 69:14Uniokoe katika matope, 2 usiniache nizame; 1 niokoe na hao wanichukiao, 2 kutoka kwenye vilindi vya maji. 1