Ayubu 30:6
Walilazimika kuishi katika mikondo ya vijito vilivyokauka, 2 kwenye majabali na mahandaki. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
To dwell in the cliffs of the valleys, in caves of the earth, and in the rocks.
In Context
5Walifukuzwa mbali na watu wao, 2 wakipigiwa kelele kama wevi. 1
7Kwenye vichaka walilia kama punda, 2 na walijisongasonga pamoja kwenye vichaka. 1
Cross References
1 Samuel 22:1Daudi akaondoka Gathi na kukimbilia kwenye pango la Adulamu. Ndugu zake na watu wa nyumba ya baba yake waliposikia habari hiyo, wakamwendea huko.
Revelation 6:15Ndipo wafalme wa dunia, wakuu wote, majemadari, matajiri, wenye nguvu na kila mtu, mtumwa na mtu huru, wakajificha katika mapango na kwenye miamba ya milima.