Ayubu 32:12
niliwasikiliza kwa makini. 1 Lakini hakuna hata mmoja wenu 2 aliyethibitisha kwamba Ayubu amekosa; 1 hakuna hata mmoja wenu 2 aliyeweza kujibu hoja zake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Nilingojea mlipokuwa mnaongea, 2 nilizisikiliza hoja zenu; 1 mlipokuwa mkitafuta maneno ya kusema, 2
13Msiseme, ‘Tumepata hekima; 2 Mungu na amthibitishe kuwa mwongo, 2 wala si mwanadamu.’ 1
Cross References
Job 32:3Pia aliwakasirikia hao rafiki watatu wa Ayubu, kwa sababu hawakuweza kupata njia ya kuthibitisha ya kuwa hayo maneno ya Ayubu hayakuwa ya kweli, nao bado walikuwa wamemlaumu.