Ayubu 33:24
kumwonea huruma na kusema, 2 ‘Mwokoe asije akatumbukia shimoni; 2 nimepata ukombozi kwa ajili yake’: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
25ndipo nyama ya mwili wake hufanywa mpya kama ya mtoto; 2 hurudishwa upya kama siku za ujana wake. 1
Cross References
Exodus 33:19Ndipo Bwana akasema, “Nitapitisha wema wangu wote mbele yako, nami nitalitangaza Jina langu, Bwana, mbele ya uso wako. Nitamrehemu yeye nimrehemuye, na pia nitamhurumia yeye nimhurumiaye.”
Job 22:21“Mjue sana Mungu ili uwe na amani, 2 ndipo mema yatakapokujia. 1
Job 36:10Huwafanya wao kusikia maonyo, 2 na huwaagiza kutubu uovu wao. 1
Psalms 22:4Kwako wewe baba zetu waliweka tumaini lao, 2 walikutumaini nawe ukawaokoa. 1
Psalms 40:2Akanipandisha kutoka shimo la uharibifu, 2 kutoka matope na utelezi; 1 akaiweka miguu yangu juu ya mwamba 2 na kunipa mahali imara pa kusimama. 1
Psalms 71:3Uwe kwangu mwamba wa kimbilio, 2 mahali nitakapokimbilia kila wakati; 1 toa amri ya kuniokoa, kwa kuwa wewe 2 ni mwamba wangu na ngome yangu. 1