Ayubu 34:29
Lakini kama akinyamaza kimya, 2 ni nani awezaye kumhukumu? 1 Kama akiuficha uso wake, 2 ni nani awezaye kumwona? 1 Ikiwa ni taifa au mtu mmoja, kwake ni sawa, 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Wamesababisha kilio cha maskini kifike mbele zake, 2 hivyo akasikia kilio cha wahitaji. 1
30ili kumzuia mtu mwovu kutawala, 2 au wale ambao huwategea watu mitego. 1
Cross References
2 Samuel 7:1Baada ya mfalme kuingia rasmi katika jumba lake la kifalme, naye Bwana akiwa amemstarehesha pande zote mbali na adui zake,
2 Kings 18:9Mwaka wa nne wa Mfalme Hezekia, ambao ulikuwa mwaka wa saba wa Hoshea mwana wa Ela kutawala Israeli, Shalmanesa mfalme wa Ashuru alikwenda kuishambulia Samaria na kuuzunguka kwa majeshi.
2 Chronicles 36:14Zaidi ya hayo viongozi wote wa makuhani pamoja na watu wakazidi kukosa uaminifu zaidi na zaidi, wakafanya machukizo yote kama walivyofanya mataifa wakinajisi Hekalu la Bwana alilokuwa amelitakasa huko Yerusalemu. 1 Kuanguka Kwa Yerusalemu (2 Wafalme 25:1-21; Yeremia 52:3-11)
Job 23:8“Lakini nikienda mashariki, hayupo; 2 nikienda magharibi, simpati. 1
Job 23:13“Lakini yeye husimama peke yake; ni nani awezaye kumpinga? 2 Yeye hufanya lolote atakalo. 1
Psalms 13:1Mpaka lini, Ee Bwana? Je, utanisahau milele? 2 Utanificha uso wako mpaka lini? 1