Ayubu 4:16
Yule roho akasimama, 2 lakini sikuweza kutambua kilikuwa kitu gani. 1 Umbo fulani lilisimama mbele ya macho yangu, 2 kukawa na ukimya kisha nikasikia sauti: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Kuna roho aliyepita mbele ya uso wangu, 2 nazo nywele za mwili wangu zikasimama. 1
17‘Je, binadamu aweza kuwa mwadilifu kuliko Mungu? 2 Je, mtu aweza kuwa safi kuliko Muumba wake? 1