Ayubu 41:4
Je, atafanya agano nawe ili umtwae 2 awe mtumishi wako maisha yake yote? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Will he make a covenant with thee? wilt thou take him for a servant for ever?
In Context
3Je, ataendelea kukuomba umhurumie? 2 Atasema nawe maneno ya upole? 1
5Je, utamfuga na kumfanya rafiki kama ndege, 2 au kumfunga kamba kwa ajili ya wasichana wako? 1
Cross References
Genesis 1:28Mungu akawabariki na akawaambia, “Zaeni na mkaongezeke, mkaijaze tena dunia na kuitiisha. Mkatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kiendacho juu ya ardhi.”
Deuteronomy 15:17ndipo utachukua chuma kidogo utoboe sikio lake mpaka hicho chuma kiingie kwenye ubao wa mlango, naye atakuwa mtumishi wako wa maisha. Ufanye vivyo hivyo kwa mtumishi wa kike.
Psalms 8:5Umemfanya chini kidogo kuliko viumbe wa mbinguni, 2 ukamvika taji ya utukufu na heshima. 1