Ayubu 41:8
Kama ukiweka mkono wako juu yake, 2 utavikumbuka hivyo vita na kamwe hutarudia tena! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Lay thine hand upon him, remember the battle, do no more.
In Context
9Tumaini lolote la kumtiisha ni kujidanganya; 2 kule kumwona tu kunamwangusha mtu chini. 1
Cross References
2 Kings 10:4Lakini wakaogopa sana na kusema, “Ikiwa wafalme wawili hawakuweza kupambana na Yehu, sisi tutawezaje?”