Ayubu 6:19
Misafara ya Tema inatafuta maji, 2 wafanyabiashara wa Sheba wanaosafiri 2 hutazama kwa matarajio. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The troops of Tema looked, the companies of Sheba waited for them.
In Context
18Misafara hugeuka kutoka njia zake; 2 hukwea kwenda kwenye nchi ya ukiwa na kuangamia. 1
Cross References
Genesis 25:3Yokshani alikuwa baba wa Sheba na Dedani, wazao wa Dedani walikuwa Waashuri, Waletushi na Waleumi.
1 Kings 10:1Malkia wa Sheba aliposikia habari za umaarufu wa Solomoni na uhusiano wake na jina la Bwana, akaja kumjaribu kwa maswali magumu.
Psalms 72:10Wafalme wa Tarshishi na wa pwani za mbali 2 watamletea kodi; 1 wafalme wa Sheba na Seba 2 watampa zawadi. 1
Jeremiah 25:23Dedani, Tema, Buzi na wote walio maeneo ya mbali;