Ayubu 8:4
Watoto wako walipomtenda dhambi, 2 aliwapa adhabu ya dhambi yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If thy children have sinned against him, and he have cast them away for their transgression;
In Context
3Je, Mungu hupotosha hukumu? 2 Je, Mwenyezi hupotosha kile kilicho haki? 1
5Lakini ukimtafuta Mungu, 2 nawe ukamsihi Mwenyezi, 1
Cross References
Genesis 19:13kwa sababu tunapaangamiza mahali hapa. Kilio kwa Bwana dhidi ya watu wa hapa ni kikubwa kiasi kwamba ametutuma kupaangamiza.”
Job 1:18Alipokuwa bado ananena, mjumbe mwingine akaja na kusema, “Wana wako na binti zako walipokuwa wakifanya karamu, wakila na kunywa divai katika nyumba ya ndugu yao mkubwa,
Job 18:16Mizizi yake chini itakauka 2 na matawi yake juu yatanyauka. 1