Ayubu 9:33
Laiti angelikuwepo mtu wa kutupatanisha kati yetu, 2 aweke mkono wake juu yetu sote wawili, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Neither is there any daysman betwixt us, that might lay his hand upon us both.
In Context
32“Yeye si mwanadamu kama mimi ili niweze kumjibu, 2 ili kwamba tuweze kushindana naye mahakamani. 1
34mtu angeliiondoa fimbo ya Mungu juu yangu, 2 ili utisho wake usiendelee kunitia hofu. 1
Cross References
1 Kings 3:16Basi wanawake wawili makahaba walikuja kwa mfalme na kusimama mbele yake.
Job 33:23“Kama bado kuna malaika upande wake 2 kama mtetezi, mmoja miongoni mwa elfu, 2 wa kumwambia mwanadamu lililo jema kwake, 1
Psalms 139:5Umenizunguka nyuma na mbele; 2 umeweka mkono wako juu yangu. 1