The Bible Software
bible.softwareJoelJoel 1 › Joel 1:14

Joel 1:14

Tangazeni saumu takatifu; 2 liiteni kusanyiko takatifu. 1 Iteni wazee 2 na wote waishio katika nchi 1 waende katika nyumba ya Bwana Mungu wenu, 2 wakamlilie Bwana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Sanctify ye a fast, call a solemn assembly, gather the elders and all the inhabitants of the land into the house of the LORD your God, and cry unto the LORD,

In Context

13Vaeni nguo ya gunia, enyi makuhani, muomboleze; 2 pigeni yowe, enyi mnaohudumu madhabahuni. 1 Njooni, vaeni nguo ya gunia usiku kucha, 2 enyi mnaohudumu mbele za Mungu wangu; 1 kwa kuwa sadaka za nafaka na sadaka za kinywaji 2 zimezuiliwa kufika katika nyumba ya Mungu wenu. 1

15Ole kwa siku hiyo! 2 Kwa kuwa siku ya Bwana iko karibu; 1 itakuja kama uharibifu 2 kutoka kwa Mwenyezi. + 1:15 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1

Read all of Joel 1

Cross References

Deuteronomy 29:10Ninyi nyote leo mnasimama mbele za Bwana Mungu wenu; mkiwa viongozi na wakuu wenu, wazee na maafisa wenu, na wanaume wengine wote wa Israeli,

2 Chronicles 20:13Watu wote wa Yuda pamoja na wake zao, watoto wao na wadogo wao wakasimama pale mbele za Bwana.

Nehemiah 9:2Wale wa uzao wa Israeli walijitenga na wageni wote. Wakasimama mahali pao, na kuungama dhambi zao na uovu wa baba zao.

Jeremiah 36:9Katika mwezi wa tisa, mnamo mwaka wa tano wa Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda, wakati wa kufunga mbele za Bwana, ilitangazwa kwa watu wote walioko Yerusalemu, na wale wote waliokuwa wamekuja kutoka miji ya Yuda.

Jonah 3:8Bali wanadamu na wanyama wafunikwe kwa nguo za gunia. Kila mmoja afanye hima kumwomba Mungu. Waziache njia zao mbaya na udhalimu ulio mikononi mwao.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Joel 1:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Joel 1:13Joel 1Joel 1:15 →