John 1:17
Kwa kuwa sheria ilitolewa kwa mkono wa Mose, lakini neema na kweli imekuja kupitia Yesu Kristo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For the law was given by Moses, but grace and truth came by Jesus Christ.
In Context
16Kutokana na ukamilifu wake, sisi sote tumepokea neema juu ya neema.
Cross References
Genesis 3:15Nami nitaweka uadui 2 kati yako na huyo mwanamke, 2 na kati ya uzao wako na wake, 1 yeye atakuponda kichwa, 2 nawe utamuuma kisigino.”
Exodus 20:1Ndipo Mungu akasema maneno haya yote: 1
Deuteronomy 5:1Mose akawaita Israeli wote, akawaambia: Ee Israeli, sikilizeni amri na sheria ninazowatangazia leo. Jifunzeni, na mwe na hakika kuzifuata.
Psalms 85:10Upendo na uaminifu hukutana pamoja, 2 haki na amani hubusiana. 1
Psalms 98:3Ameukumbuka upendo wake 2 na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli; 1 miisho yote ya dunia imeuona 2 wokovu wa Mungu wetu. 1
Luke 1:54Amemsaidia mtumishi wake Israeli, 2 kwa kukumbuka ahadi yake ya kumrehemu 1