John 10:13
Yeye hukimbia kwa sababu ameajiriwa wala hawajali kondoo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The hireling fleeth, because he is an hireling, and careth not for the sheep.
In Context
14“Mimi ndimi mchungaji mwema. Ninawajua kondoo wangu nao kondoo wangu wananijua.
Cross References
Acts 18:17Ndipo wote wakamkamata Sosthene kiongozi wa sinagogi, wakampiga mbele ya mahakama, lakini Galio hakujali kitendo chao hata kidogo. 1 Paulo Arudi Antiokia