John 10:8
Wote walionitangulia ni wevi na wanyangʼanyi, lakini kondoo hawakuwasikia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All that ever came before me are thieves and robbers: but the sheep did not hear them.
In Context
7Kwa hiyo Yesu akasema nao tena akawaambia, “Amin, amin nawaambia, mimi ndimi lango la kondoo.
Cross References
Jeremiah 23:1“Ole wao wachungaji wanaoharibu na kutawanya kondoo wa malisho yangu!” asema Bwana.
Ezekiel 34:2“Mwanadamu, tabiri juu ya wachungaji wa Israeli, tabiri na uwaambie: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Ole wa wachungaji wa Israeli ambao hujitunza wenyewe tu! Je, haiwapasi wachungaji kutunza kundi la kondoo?
Zechariah 11:4Hili ndilo asemalo Bwana Mungu wangu: “Lilishe kundi lililokusudiwa kuchinjwa.
John 10:1“Amin, amin nawaambia, yeye asiyeingia katika zizi la kondoo kwa kupitia kwenye lango, lakini akwea kuingia ndani kwa njia nyingine, ni mwizi na mnyangʼanyi.
John 10:27Kondoo wangu huisikia sauti yangu nami nawajua, nao hunifuata,