John 11:6
baada ya kusikia kwamba Lazaro ni mgonjwa, aliendelea kukawia huko alikokuwa kwa siku mbili zaidi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Pamoja na hivyo, ingawa Yesu aliwapenda Martha, Maria na Lazaro ndugu yao,
7Ndipo akawaambia wanafunzi wake, “Haya, turudi Uyahudi.”
Cross References
Genesis 42:24Yosefu akajitenga nao akaanza kulia, kisha akawarudia na kuzungumza nao tena. Akataka Simeoni akamatwe na kufungwa mbele yao.
Genesis 44:1Kisha Yosefu akampa yule msimamizi wa nyumbani mwake maagizo haya: “Jaza magunia ya watu hawa kiasi cha chakula ambacho wanaweza kuchukua, na uweke fedha ya kila mtu kwenye mdomo wa gunia lake.
Isaiah 30:18Hata hivyo Bwana anatamani kutupatia neema, 2 anainuka ili kuwaonyesha huruma. 1 Kwa kuwa Bwana ni Mungu wa haki. 2 Wamebarikiwa wote wanaomngojea yeye!
Matthew 15:22Mwanamke mmoja Mkanaani aliyeishi sehemu jirani na hizo akaja kwake akilia, akasema, “Nihurumie, Ee Bwana, Mwana wa Daudi! Binti yangu amepagawa na pepo mchafu, na anateseka sana.”