John 12:23
Yesu akawajibu, “Saa imewadia ya Mwana wa Adamu kutukuzwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jesus answered them, saying, The hour is come, that the Son of man should be glorified.
In Context
22Filipo akaenda akamweleza Andrea, nao wote wawili wakamwambia Yesu.
Cross References
Isaiah 49:5Sasa Bwana asema: 2 yeye aliyeniumba tumboni kuwa mtumishi wake, 1 kumrudisha tena Yakobo kwake 2 na kumkusanyia Israeli, 1 kwa maana nimepata heshima machoni pa Bwana, 2 naye Mungu wangu amekuwa nguvu yangu; 1
Isaiah 55:5Hakika utaita mataifa usiyoyajua, 2 nayo mataifa yale yasiyokujua yataharakisha kukujia, 1 kwa sababu ya Bwana Mungu wako, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, 2 kwa maana amekutukuza.” 1
Matthew 25:31“Mwana wa Adamu atakapokuja katika utukufu wake na malaika wote watakatifu pamoja naye, ndipo atakapoketi juu ya kiti cha enzi cha utukufu wake.
John 12:16Wanafunzi wake Yesu mwanzoni hawakuelewa mambo haya, lakini Yesu alipotukuzwa, ndipo walipokumbuka kuwa mambo haya yalikuwa yameandikwa kwa ajili yake na alitendewa yeye.
John 13:32Ikiwa Mungu ametukuzwa ndani ya Mwana, Mungu atamtukuza Mwana ndani yake mwenyewe naye atamtukuza mara.
John 17:9Ninawaombea wao. Mimi siuombei ulimwengu, bali nawaombea wale ulionipa kwa sababu wao ni wako.