John 12:34
Ule umati wa watu ukapiga kelele ukasema, “Tumesikia kutoka Sheria kwamba ‘Kristo + 12:34 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. adumu milele,’ wewe wawezaje kusema, ‘Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa juu’? Huyu ‘Mwana wa Adamu’ ni nani?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
33Yesu aliyasema haya akionyesha ni kifo gani atakachokufa.
Cross References
Psalms 72:7Katika siku zake wenye haki watastawi; 2 mafanikio yatakuwepo mpaka mwezi utakapokoma. 1
Psalms 89:36kwamba uzao wake utaendelea milele, 2 na kiti chake cha enzi kitadumu mbele zangu kama jua; 1
Isaiah 9:7Kuongezeka kwa utawala wake na amani 2 hakutakuwa na mwisho. 1 Atatawala katika kiti cha enzi cha Daudi 2 na juu ya ufalme wake, 1 akiuthibitisha na kuutegemeza 2 kwa haki na kwa adili, 2 tangu wakati huo na hata milele. 1 Wivu wa Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 utatimiza haya. 1 Hasira Ya Bwana Dhidi Ya Israeli 1
Ezekiel 37:24“ ‘Mtumishi wangu Daudi atakuwa mfalme juu yao, nao wote watakuwa na mchungaji mmoja. Watafuata sheria zangu na kuzishika amri zangu kwa uangalifu.
Daniel 7:14Akapewa mamlaka, utukufu na ufalme wenye nguvu; nao watu wa kabila zote, mataifa, na watu wa kila lugha wakamwabudu. Utawala wake ni utawala wa milele ambao hautapita, nao ufalme wake ni ule ambao kamwe hautaangamizwa. 1 Tafsiri Ya Ndoto
Micah 4:7Nitawafanya walemavu kuwa mabaki, 2 wale waliofukuzwa kuwa taifa lenye nguvu. 1 Bwana atatawala juu yao katika Mlima Sayuni 2 kuanzia siku hiyo na hata milele. 1